Katibu Mkuu Ofisi Rais, Utumishi wa Umma Bw.George D. Yambesi (katikati) akimkaribisha mgeni rasmi Balozi Ombeni Sefue (kushoto) kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa Wakurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Serikalini katika ukumbi wa St. Gaspar mjini Dodoma leo.Kulia ni Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bi.Claudia Mpangala.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa mkuu wa mwaka wa Wakurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Wizarani, Idara za Serikali zinazojitegemea, Taasisi za Umma na Makatibu Tawala Wasaidizi Sehemu ya Utawala na Rasilimaliwatu katika Sekretariati za Mikoa na Mameneja Rasilimaliwatu katika Wakala la Serikali wakimsikiliza mgeni rasmi Balozi Ombeni Sefue (haypo pichani) wakati wa ufunguzi wa mkutano huo katika ukumbi wa St. Gaspar mjini Dodoma leo

Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Bw. Solanus Nyimbi akiongea kwa niaba ya Wakurugenzi Rasilimaliwatu Serikalini baada ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka wa Wakurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Wizarani, Idara za Serikali zinazojitegemea, Taasisi za Umma na Makatibu Tawala Wasaidizi Sehemu ya Utawala na Rasilimaliwatu katika Sekretariati za Mikoa na Mameneja Rasilimaliwatu katika Wakala la Serikali katika ukumbi wa St. Gaspar mjini Dodoma leo.
Sekretarieti ikichukua michango wakati wa mkutano mkuu wa mwaka wa Wakurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Wizarani, Idara za Serikali zinazojitegemea, Taasisi za Umma na Makatibu Tawala Wasaidizi Sehemu ya Utawala na Rasilimaliwatu katika Sekretariati za Mikoa na Mameneja Rasilimaliwatu katika Wakala la Serikali katika ukumbi wa St. Gaspar mjini Dodoma leo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni