Jumatano, 16 Aprili 2014

OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA YASAINI MKATABA KUHUSU MTANDAO WA MAWASILIANO WA SERIKALI

Katibu Mkuu Utumishi Bw.George D. Yambesi (kushoto) akimkabidhi mkataba wa kuweka mtandao wa Mawasiliano wa Serikali Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao (eGA) Dkt.Kuwe Bakari.

Katibu Mkuu Utumishi Bw. George D. Yambesi (katikati) akizungumza wakati wa hafla fupi ya kusaini mkataba wa kuweka Mtandao wa Mawasiliano wa Serikali  na kampuni za mawasiliano za SOFTNET Technologies na TTCL. Kulia ni Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Serikali Mtandao (eGA) Dkt Kuwe Bakari, kushoto ni Bw. Priscus Kiwango Mkurugenzi wa TEHAMA Utumishi, akifuatiwa na Mkurugenzi wa kampuni ya SOFTNET Ltd  Bw.Gilbert Herman

Hakuna maoni: