Alhamisi, 19 Aprili 2018

Huduma ya maji safi kwa wananchi imeimarika nchini - Mhe. Mhandisi Kamwelwe (Mb)

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (Mb) akitoa maelezo kuhusu hoja mbalimbali zilizowasilishwa kuhusu utoaji huduma ya maji nchini katika Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Jumaa Aweso (Mb), kulia, na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Mhe. January Makamba (Mb) washiriki katika mkutano wa  Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (Mb) hayupo pichani
PICHANI Kutoka kushoto;  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembea (Mb), akifuatiwa na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (Mb), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Mhe. January Makamba (Mb) na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Jumaa Aweso (Mb), wakisikiliza maswali kutoka waandishi wa habari

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (Mb) akitoa maelezo ya ziada kwa vyombo vya habari kuhusu hoja mbalimbali zilizowasilishwa kuhusu utoaji huduma ya maji nchini katika Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).



Hakuna maoni: