SERIKALI YA UINGEREZA-MSHIRIKA MKUBWA WA PROGRAMU ZA MABADILIKO KATIKA UTUMISHI WA UMMA
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapt. mstaafu Mhe. George Mkuchika, Mb, akiwa katika kikao ofisini kwake Dodoma na Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cooke, pamoja na ujumbe wake, mjini Dodoma
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapt. mstaafu Mhe. George Mkuchika, Mb, akiwa katika picha ya pamoja ofisini kwake Dodoma na Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cooke, pamoja na ujumbe mara baada ya kumaliza kikao.
Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cooke, pamoja na ujumbe wake, mjini Dodoma katika kikao na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapt. mstaafu Mhe. George Mkuchika, Mb, -hayupo pichani, Dodoma
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni