Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb), kulia, akishiriki mjadala katika kipindi cha Tunatekeleza kinachorushwa na Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC). Mhe. Mkuchika katika mjadala huo amesisitiza Watumishi wa Umma nchini wanatakiwa kufanya kazi kwa weledi ili kufikia malengo ya nchi na kuleta mabadiliko kwa wananchi ambao ndio wadau wakuu wa Serikali. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni