Jumatatu, 13 Julai 2015

Mh. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kufungua Mkutano wa Wakuu wa Utumishi Barani Afrika Leo

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue akiongoza kikao cha maandalizi ya mkutano
Katibu Wakuu na watendaji wakijadili wakati wa kikao, kushoto ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu . Dkt. Florens Turuka, akifuatiwa na Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu na Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhem James Meru
Taswira ya moja ya eneo mkutano utakapofanyika jijini Dar es salaam

Hakuna maoni: