Ijumaa, 26 Juni 2015

WASHINDI WA TUZO ZA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA MWAKA 2015


Wiki ya Utumishi wa Umma iliadhimishwa kuanzia tarehe 16-23 Juni 2015.
Jumla ya Taasisi 85 zilidhibitisha na kushiriki, hivyo kufanyiwa tathmini katika utekelezaji wa masuala mbalimbali katika maeneo makuu matano (5). Taasisi zilizoibuka kwa kupata Tuzo ni kama ifuatavyo;

1. Taasisi inayosimamiwa vizuri (BEST MAGED MDA AWARD)

(I) BENKI KUU YA TANZANIA (BoT)
(II) MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA TANZANIA (TFDA)
(III) MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)


2. Banda Bora (BEST STAND AWARD)
(i) HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI
(ii) BENKI KUU YA TANZANIA (BoT)
(iii) MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA (TAA)


3. Mapambano dhidi ya VVU na UKIMWI mahala pa kazi (BEST HIV AND AIDS INTERVENTIONS MANAGEMENT AWARD)
(i) WIZARA YA MAJI
(ii) OFISI YA WAZIRI MKUU
(iii) MFUKO WA PESHENI WA PPF


4. Ubunifu katika kuboresha utoaji huduma kwa wananchi (INNOVATION IN SERVICE DELIVERY AWARD)
(i) HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI
(ii) MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA)
(iii) MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)


5. Program za Uwezeshaji Wanawake (BEST WOMEN EMPOWERING PROGRAM AWARD)
(i). WAKALA YA NISHATI VIJIJINI (REA)
(ii). WIZARA YA MAJI
(iii). MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA TANZANIA (TFDA)

WOTE MLIOPATA TUZO TUNAWAPONGEZA

Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Kny: Kaimu Katibu Mkuu (UTUMISHI)

Juni 23/2015

Hakuna maoni: