Jumatatu, 23 Machi 2015

JK AZINDUA KITUO CHA TAIFA CHA KUMBUKUMBU (NRC) DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia moja ya Jalada llenye kumbukumbu za zamani katika Kituo cha Taifa cha Kumbukumbu Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, viongozi wa Serikali na Washirika wa Maendeleo kwa pamoja wakikata utepe kuzindua Kituo cha Taifa cha Kumbukumbu Dodoma (National Records Centre (NRC)
Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa Uzinduzi wa Kituo cha Taifa cha Kumbukumbu Dodoma.


Hakuna maoni: