Ijumaa, 16 Januari 2015

UTUMISHI YASAINI MIKATABA SABA YA MTANDAO WA MAWASILIANO WA SERIKALI (GOVNET), Awamu ya Pili

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi (kushoto) akimkabidhi mkataba Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao (eGA) Dr. Jabiri Kuwe Bakari moja kati ya mikataba iliyosainiwa kuhusu GOVNET. eGA itasimamia utekelezaji wa kazi hiyo

Pichani: Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma akibadilishana mkataba na wawakilishi wa kampuni zilizoshinda kufanya kazi ya GOVNET Awamu ya Pili mapema leo.

Hakuna maoni: