Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi (wa kwanza), akifuatiwa na Balozi wa Japani nchini Tanzania Bw. Masaki Okada wakiwaaga viajana wa Kitanzania walipata ufadhili wa kusoma nchini Japani Shahada ya Uzamili katika fani mbalimbali kupitia Programu ya ABE. Hafla ya kuwaaga vijana hao imefanyika jijini Dar es salaam. |
Baadhi ya Vijana 30 wa Kitanzania waliopata ufadhili wa kusoma Shahada ya Uzamili nchini Japani kupitia Programu ya ABE wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi. |
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi akiwapa neno vijana 30 wa Kitanzania (hawapo pichani) waliopata ufadhili wa kusoma Shahada ya Uzamili nchini Japani katika fani mbalimbali kupitia programu ya ABE. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni