Jumanne, 16 Septemba 2014

Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma yazindua zoezi la Upimaji afya kwa Watumishi wa Umma hasa VVU

Sehemu ya viongozi na maofisa wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma waliohudhuria zoezi la upimaji afya. Pichani juu ni Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. HAb Mkwizu (kushoto kabisa)
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi akipima afya ofisini kwake kuzindua zoezi la upimaji afya kwa Watumishi wa Umma hasa Virusi Vya UKIMWI (VVU)
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi akiongea na vyombo vya habari kuhusu zoezi la upimaji afya kwa Watumishi wa Umma hasa Virusi Vya UKIMWI (VVU)

Hakuna maoni: