| Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakimsikiliza Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue (hayupo pichani) katika Kituo cha Taifa cha Utunzaji Kumbukumbu (NRC) Dodoma. |
| Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. George D. Yambesi akitoa maelezo mafupi kuhusu Kituo cha Taifa cha Utunzaji Kumbukumbu (NRC) Dodoma |
| Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue (mwenye miwani) akipitia jalada linahusu migooro ya ardhi miaka 60 katika Kituo cha Taifa cha Utunzaji Kumbukumbu (NRC) Dodoma. |
| Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue (kushoto), pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. George D. Yambesi wakipitia moja ya jalada lililofunguliwa mwanzoni mwa miaka ya 60 |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni