| Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mh. Dkt. Pindi Chana aki zindua wa baraza kuu la tatu katika Utumishi wa Umma- Dodoma |
| Sehemu ya wajumbe wa baraza wakimsikiliza mgeni rasmi |
| Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi akiongea na wajumbe wa Baraza Kuu la tatu katika Utumishi. |
| Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Sera-Utumishi ambaye pia ni Katibu wa Baraza Kuu la katiak Utumishi
Bw. Mathias Kabunduguru akitoa maelekezo kuhusu mkutano ulifanyika leo kuzindua baraza hilo.
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni