
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi, (picha ya juu kushoto) akifuatilia uwasilishaji wa mda kwa njia ya kieletroniki katika Semina ya kazi kati ya ofisi yake na mikoa ya Dar es salaam, Tanga, Mwanza na Morogoro. Picha ya chini: sehemu ya Menejimenti ya Ofisi ya Rais-Utumishi ikifuatilia Semina hiyo mapema leo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni