Jumatano, 6 Novemba 2013

heka heka za ujenzi wa barabara


Tingatinga likiweka mambo sawa ujenzi wa barabara ya mabasi ya kasi dar es salaam, karibu na kivuko cha kigamboni, tatizo wamesahau kuna watembea kwa miguu wakati ujenzi ukiendelea.

Hakuna maoni: