Kapteni wa timu ya mpira wa Pete ya Utumishi, E. Fusi (kulia) katika mashindano ya SHIMIWI yaliyomaliZIka akipokea kikombe cha ushindi wa pili kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. R. Nchimbi. Utumishi ilicheza na Ikulu katika fainali hiyo na kufngwa kwa taabu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni