Ijumaa, 6 Septemba 2013

"Nawakubali, chapeni kazi"

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete akijionea jinsi watumishi wa Umma wanavyopiga mzigo, hapa akiangalia mfumo shirikishi wa taarifa za kiutumishi na mishahara unavyofanya kaz kwa kupunguza gharama za kusafiri na muda. Maonesho hayo yamefanyika katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.

Hakuna maoni: