Jumatano, 18 Septemba 2013

KERO ZA FOLENI DAR, askari vipi pale jirani na Protea Hotel

Kero ya foleni Dar: hata sheria hazifuatwi, hapa ni eneo jirani kabisa na Protea Hotel, kama vile askari limewashinda...
Kulia sio kwamba hizo gari zimepaki, hapo wanasubiri watoke kwa mwendo kasi bila kujali kuna gari ziko katika foleni

Hakuna maoni: