Jumatatu, 2 Septemba 2013

BENZ LINAPOISHA UBORA WAKE...

Gari aina ya Benz, moja kati ya magari yanayouzwa bei mbaya...lazma ujikwangue haswa ili uweze kulimiliki...hapa ni Kariakoo-maarufu Gerezani jijini Dar na garii lenyewe linatumika kama jalala, hakuna thamani tena

Hakuna maoni: