Ijumaa, 16 Agosti 2013

Mkutano kwa njia ya Kielektroniki (e-Conference), Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma

Katibu Tawala wa mkoa wa Kilimanjaro Dr. Faisal Issa (katika Runinga) akiuliza swali wakati wa mkutano wa kikazi ulioendeshwa kwa  njia ya kielektroniki (e-Conference)na Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma. Mkutano huo ulijumuisha Ofisi za Katibu Tawala kutoka mikoa ya Kagera na Iringa.Matumizi ya Teknolojia hii (e-conference) yataokoa rasilimali nyingi ikiwemo muda wa kusafiri, na fedha hivyo watendaji wa serikali kuwa na muda zaidi wa kutekeleza majukumu yao na kuhudumia wananchi. Hongera Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma!! endeleeni zaidi na zaidi!!! kwa hili tunawapa TANO

Hakuna maoni: