Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (kulia) na Katibu Mkuu wa Ofisi yake Bw. George D. Yambesi (kati) wakitoa maelekezo kwa watumishi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Utumishi wa Umma Barani Afrika, jijini Accra Ghana. Waziri Kombani pia ni Mwenyekiti wa mpito wa Mkutano wa Mawaziri wa Utumishi Barani Afrika.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni