Jumatatu, 29 Julai 2013

Matumizi ya TEHAMA serikalini si haba

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Ofisini ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Florence lawrence, kati akionesha mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) kwa wanahabari (hawapo pichani) jijini Dar es salaam. Moja ya faida ya Mfumo huo ni kuwezesha mtumishi wa Umma aliyeajiriwa kuingizwa katika orodha ya malipo ndani ya dakika 30 popote pale alipo nchini Tanzania, kazi iliyofanywa awali kwa zaidi ya miezi minne.

Hakuna maoni: