Jumatano, 2 Julai 2014

OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA YAFANIKISHA MKUTANO WA MWAKA WA WAKUU WA IDARA ZA UTAWALA NA RASILIMALIWATU KATIKA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA

Mkuu wa Mikoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi akifungua mkutano wa mwaka wa Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa mjini Dodoma. Mkutano huo umeandaliwa na Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma.

Sehemu ya washiriki wa mkutano wa mwaka wa Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa wakimsikiliza mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi.

Washiriki wa mkutano wa mwaka wa Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa wakipewa maelekezo muhimu kuhusu siku mbili watakazo jadili masuala ya kiutumishi, pia kupewa mafunzo muhimu kuhusu kazi wanazozitekeleza katika Utumishi wa Umma.
Waratibu wa Mkutano wa mwaka wa Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi (wanne kutoka kulia), Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi (watatu kutoka kushoto), na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. HAB Mkwizu.

(BK)

Hakuna maoni: