Jumamosi, 21 Juni 2014

TASWIRA MBALIMBALI ZA KONGAMANO LA MIAKA 50 YA MUUNGANO KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Mtendaji Mkuu Wakala ya Serikali Mtandao (eGA) Dkt.Jabiri Bakari Kuwe akichangia mada wakati wa Kongamano la Miaka 50 ya Muungano katika Utumishi wa Umma lililofanyika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Idara ya Uchambuzi na Ushauri  Kazi Bw.Micky Kiliba akichangia mada wakati wa Kongamano la Miaka 50 ya Muungano katika Utumishi wa Umma lililofanyika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu  Bw. Phillemon Luhanjo akitoa mada wakati wa Kongamano la Miaka 50 ya Muungano katika Utumishi wa Umma katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC), Dar es salaam
Washiriki wa Kongamano la Miaka 50 ya Muungano katika Utumishi wa Umma wakimsikiliza Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Bw.Phillemon Luhanjo wakati wa kongamano

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Bw.Mrisho Gambo akichangia mada wakati wa Kongamano la Miaka 50 ya Muungano katika Utumishi wa Umma lililofanyika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu wa Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Xavier Daudi.



Hakuna maoni: