Jumanne, 24 Septemba 2013

UTUMISHI HOYEEE!!!


Mcheza wa timu ya mpira wa Pete ya Utumishi Fatma (GS) akiwa hewani kudaka mpira, huku akiwa amezongwa na kichaka cha wacezaji wa Ujenzi. Utumishi iliichapa Ujenzi 48-5 katika mchezo huo wa SHIMIWI uliofanyika Chuo Kikuu cha Dodoma.

Hakuna maoni: