Jumamosi, 13 Julai 2013


Ukiwa na gari ndogo, basi shurti uwe mpole:::hapo jamaa kachomekewa na basi la abiria hana cha kusema maeneo ya Korogwe, polepole ndo mwendo!!!!

Hakuna maoni: